Wiki ya Abaya, Hina, Kanzu maandalizi ya Eid EL Fitri
Baada ya takribani siku 27 za mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan, mawazo ya Waislamu wengi kwa sasa yanaelekezwa kwenye sikukuu ya Eid El Fitri, inayotarajiwa kuwa kati ya Aprili 10 na 11, mwaka...